Lyrics

Nimekupata yesu nimepata yote nimekupata bwana sitahitaji tena Wewe ndiwe hitaji langu ngome yangu na mwamba tegemeo langu katika hali zote Jaza moyo wangu upendo nikupende urafiki wa kweli nifundishe kupenda bwana Maana upendo wako ndio pekee waweza kunifanya kiumbe kipya nikakufuate Natamani nitembee katika upendo wa bwana Natamani nitembee katika upendo wa bwana Upendo ule wa dhati Upendo usiobagua Upendo uletao hekima busara na amani Upendo wa kibingu pekee ulio bora Wapenzi wa dunia wengi wadanganyifu niwapo katika hali nzuri tuko wote Lakini katika matatizo wote wanikimbia wewe nimekupata nitakushikilia
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out