Lyrics

{Mawazo ya Mungu ni tofauti kabisa na mawazo ya wanadamu Na mwanadamu anavyokuwazia Tofauti kabisa na Mungu anavyokuwazia Amenikumbuka Mungu, shetani hanipati tena FATANA NAMI} Waliponitazama sina elimu ya kutosha Wakasema atakoma eti maisha yataniharibu Nani ataniajiri sina elimu ya kutosha wakasema atakoma eti jiji nitalitambua {Wanadamu wana maneno mengi sana ya kukatisha tamaa Lakini maneno ya mungu ni ya baraka HALELUYA} Yesu akawasikia Akasema Abiudi Abiudi mwanangu njoo kwangu mi nikuajiri Nenda kawe mchungaji Huuuku ukiniimbia Usijari maisha mshahara nitakulipa mimi {Nilipoanza uchungaji wengi walicheka wakasema ndo sasa anaenda kuharibika kabisa, lakini Mungu alivonibariki tofauti kabisa na mawazo yao} [Ameniajiri Mungu ×3] mshahara nalipwa na yeye Ameniajiri Yesu Ameniajiri Mungu Ameniajiri mimi mshahara nalipwa na yeye {Leo hii katika wimbo huu, Mungu anaenda kukukumbuka, Mungu anaenda kukuvusha hapo ulipo na woote wanaokudharau wataaibika} Amenikumbuka Mungu HALELUYA Amenikumbuka Mungu Amenikumbuka Mungu Shetani hanipati tena Amenikumbuka (amee), amenikumbuka (amee) Amenikumbuka Shetani hanipati tena Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Kama wapo wanaodhani ipo siku nitashindwa ilo wazo na wafute Shetani hanipati tena. Kama wapo wanaoroga Ipo siku mi nishindwe Izo dawa wakatupe shetani hanipati tena. Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Amenibariki Mungu Amenifuta machozi Ameondoa aibu Shetani hanipati tena Kama wapo wanaowaza Ipo siku nitashindwa Ilo wazo na wafute Shetani hanipati tena Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka Yesu (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Amekubariki Yesu Amekubariki Mungu Shetani hakupati tena Imani umeilinda Tuige mfano wako Amekubariki Mungu Shetani hakupati tena Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Amekubariki Yesu Amekubariki mno Shetani hakupati tena . Ndani yake Amekubariki Yesu Shetani hakupati tena Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Amekubariki Mungu Mwinjilisti we Amekubariki Mungu Shetani hakupati tena Kama gari unalo na vyombo unavyo Sasa unataka nini Nenda kahubiri injili Amenikumbuka (bye bye×2) Amenikumbuka (bye bye shetani) Amenikumbuka (bye bye) Shetani hanipati tena Amenikumbuka (umasikini) Amenikumbuka (bye bye tabu) Amenikumbuka (bye bye mateso) Shetani hanipati tena Psalms 9: 19 . . . #rdol 《♡Abiudi Misholi♡》
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out