Lyrics

Majina Yote Mazuri ni yako Eh Johava Muumbaji Wangu Nikupe Jina Gani Kwani Kila Lakiheri ni Upekee Wako Majina Yote Mazuri ni yako Eh Johava Muumbaji Wangu Nikupe Jina Gani Kwani Kila Lakiheri ni Upekee Wako Majina Yoooteeee! Majina Yote Mazuri ni yako Eh Johava Muumbaji Wangu Nikupe Jina Gani Kwani Kila Lakiheri ni Upekee Wako Nikuupeee Jina Gani!!! Nikupe Jina Gani Kwani Kila Lakiheri ni Upekee Wako Majina Yooteee!!!! Majina Yote Mazuri ni yako Eh Johava Muumbaji Wangu Nikupe Jina Gani Kwani Kila Lakiheri ni Upekee Wako Umeniponyaaa! Umeniponya Nakuita Jehova Rapha Mungu, Mponyaji Wangu Umenikoaaa!! Umeniokoa nakuita Mwokozi Bwana Mungu wa Wokovu wangu Umenipigania!!! Umenipigania nakuita Jehova Nisi Bendera ya Ushindi wangu Umeniponya!! Umeniponya Nakuita Jehova Rapha Mungu, Mponyaji Wangu Umeniokoa!! Umeniokoa nakuita Mwokozi Bwana Mungu wa Wokovu wangu Umenipigania Yesu!!! Umenipigania nakuita Jehova Nisi Bendera ya Ushindi wangu Umenipigania!!!!! Umenipigania nakuita Jehova Nisi Bendera ya Ushindi wangu Usifiiiiweee!!! Usifiwe ewe bwana MUUMBA Wangu na Nuru yangu Wema wako wanijaza Moyoni... Wewe ndiwe Mchungaji wangu Tena Kiongozi wa Maisha yangu Wanitazama kama mboni ya jicho lako Usifiwe ewe bwana MUUMBA Wangu na Nuru yangu Wema wako wanijaza Moyoni... Wewe ndiwe Mchungaji wangu Tena Kiongozi wa Maisha yangu Wanitazama kama mboni ya jicho lako Usifiwe ewe bwana MUUMBA Wangu na Nuru yangu Wema wako wanijaza Moyoni... Wewe ndiwe Mchungaji wangu Tena Kiongozi wa Maisha yangu Wanitazama kama mboni ya jicho lako Umenifanyaaaa!! Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa Zaidi ya yote ukanifanya kuwa Baraka Ili nami nibariki Nimekupata wewe nami nikaridhika Wewe ni yote ndani ya yote Usifiwe ewe bwana MUUMBA Wangu na Nuru yangu Wema wako wanijaza Moyoni... Wewe ndiwe Mchungaji wangu Tena Kiongozi wa Maisha yangu Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out