Music Video

Umetukuka - Angela Noi (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Angela Noi
Angela Noi
Songwriter

Lyrics

Wastahili sifa na utukufu Wewe uketie juu ya vyote Pokea heshima na mamlaka We u muumba wa vyote Wastahili sifa na utukufu Wewe uketie juu ya vyote Pokea heshima na mamlaka We u muumba wa vyote Yesu umetukuka Yesu unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Yesu umetukuka Yesu unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Kifo hakina nguvu Kumshinda mwana wa Mungu Yesu umetukuka umetukuka umetukuka Mamlaka yote mamlaka yote ni yako Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala Bwana umetukuka Bwana unastahili Mamlaka yote ni yako Enzini unatawala ooo Bwana ooo Bwana ooo Bwana Bwana Bwana Juu ya vote Ni wewe Bwana Juu ya vyote Ni wewe Bwana Kifo hakina nguvu Kumshinda mwana wa Mungu Yesu umetukuka Mamlaka yote ni yako Kifo hakina nguvu Kumshinda mwana wa Mungu Yesu umetukuka Mamlaka yote ni yako Hallelujah Hallelujah Let's just give praise to the Lord
Writer(s): Angela Noi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out