Music Video

Mzabibu wa kweli- Angela Noi
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Angela Noi
Angela Noi
Songwriter

Lyrics

Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Nikikaa ndani yako Na wewe ndani yangu Ninazaa ziada Yesu we ni mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli (Instrumental) Nikikaa ndani yako Na wewe ndani yangu Ninazaa ziada Yesu we ni mzabibu wa kweli Nikikaa ndani yako Na wewe ndani yangu Ninazaa ziada Yesu we ni mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Mzabibu wa kweli Ninakaa ndani ya mavuno mengi Nizalishe Mimi tawi Mzabibu wa kweli Nikikaa ndani yako Na wewe ndani yangu Ninazaa ziada Yesu we ni mzabibu wa kweli Nikikaa ndani yako Na wewe ndani yangu Ninazaa ziada Yesu we ni mzabibu wa kweli
Writer(s): Angela Noi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out