Lyrics

Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Aaaaah Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Laghai Laghai nambari wani Watu wote watu wote wamjua Jamaa rogi rogi rogi namba wani Watu wote watu wote wamjua Wasomi visomo vyenye thamani Na uzuri na uzuri uso doa Wamemwacha Wamemwacha mataani Fungu fungu fungu la kurehemewa Wasomi visomo vyenye thamani Na uzuri na uzuri uso doa Wamemwacha Wamemwacha mataani Fungu fungu fungu la kurehemewa Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Kama wewe kama wewe upendwe nini Hasa hasa hasa kwa uzuri gani Kama wewe kama wewe upendwe nini Hasa hasa hasa kwa uzuri gani Si wa umbo si wa nywele si wa uyuni Mbele ziro nyuma hakujulikani Na uturi vuja wa faradhi ruhameni Kwenye visura wewe humo hesabuni Si wa umbo si wa nywele si wa uyuni Mbele ziro nyuma hakujulikani Na uturi vuja wa faradhi ruhameni Kwenye visura wewe humo hesabuni Ama kweli liakhiri zamani Si basi tu hii akhiri zamani Si basi tu hii akhiri zamani Si basi tu hii akhiri zamani Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Tumeshawaona walo wazuri wa kweli Kila kitu chao wao naturally Tumeshawaona walo wazuri wa kweli Kila kitu chao wao naturally Zunguka bongo uwaone kila mahali Figa zao za kupigiwa mithali Sio zumbukuku na shape ya penseli Tingisha bodi huwezi kustahmili Pochi wazi kuwa achia halali Zunguka bongo uwaone kila mahali Figa zao za kupigiwa mithali Sio zumbukuku na shape ya penseli Tingisha bodi huwezi kustahmili Pochi wazi kuwa achia halali Huyo ulo nae anajistiri hali Sibasitu hii akhiri zamani Sibasi tu hii akhiri zamani Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Nimekusudia leo roho nikurushe Kama unayo presha nikupandishe Nimekusudia leo roho nikurushe Kama unayo presha nikupandishe Huna moja bure usijirembeshe Kula dongo mimi usinisemeshe Kaa kando sitaki zako kasheshe Sijiletelete kwangu usijitakishe Wala huna ngoma leo acha nikupashe Huna moja bure usijirembeshe Kula dongo mimi usinisemeshe Kaa kando sitaki zako kasheshe Sijiletelete kwangu usijitakishe Wala huna ngoma leo acha nikupashe Kiasi fulani nje akuvurumishe Sibasi tu hii akhiri zamani Sibasi tu hii akhiri zamani Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Yeyeye eeh Yeyeye eeee Si Basi Tu si Basi Tu Sibasi tu Hivo unadhani kwa yakini watakiwa Hujui fulani kwamba anakuzuzua Kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Si Basi Tu si Basi Tu si Basi tu Sibasi tu
Writer(s): Zanzibar Taarab Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out