Lyrics

Ye (Airght)... Ye ye Yule boy gadafi and am to real safi S2kizzy baiby Yeah Na hunikuti nipo lowkey kama sina fedha Million Dolar hutoki game ya Bongo flava Inabidi utumie akili kujiongeza Zile simu nilopata wapi Please sitaki tena Gotta hustle hard Mama aishi vyema Sio rahisi You can't stop me Boy jipange tena Huwezi shindana na muda unavyosema Wanauliza huyu ni nani Huyu ndio boy, boy Nembo zote mtaani yule boy boy Napo shika mic, you know it, know it Wana wanatingisha vichwa ladies go wow wow Nilipambana na nikashinde Kalika nikaimbe Mama akasema nikipata pesa nikavimbe Sa magoma nasikinde Nachoma cha kiringe Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde Kama hailipii, kwangu no no no no no no No no no no Haipitiki, usipite no no no no no no No no Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee Hakuna mission, tafuta mission ndo uenjoy Tukinukishe, waombe feni panga boy Wabishi wabishe, natokota haya boyz Si unataka tuitimishe, anzisha uone boi Siku hizi sitaki, kona kona Sembe ni nyeupe usiite dona Mrefu, kati, umenona Usidhani ni dem, mikataba ndo nasoma Nilipambana na nikashinde Kalika nikaimbe Mama akasema nikipata pesa nikavimbe Sa magoma nasikinde Nachoma cha kiringe Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde Kama hailipii, kwangu no no no no no no No no no no Haipitiki, usipite no no no no no no No no Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee Hahaha (S2kizzy baiby) Yo,all already know Rooftop PNt baiby!
Writer(s): Salim Kassim Maengo, Country Boy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out