Lyrics

Oh, yeah Oh, yeah Stop, let's go Hi, baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo (Hi) baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo D-U-L-L-Y S-Y-K-E-S (Dully Sykes) Maliza na misifa kwenye raga mi n'natisa Ilala, Kariakoo kote mi' nawakilisha Hi, hi, mi' napewa hi Tena bila shy nao wananipa hi Ninapo sema hi, namaanisha hi Masela ndani ya nyumba mi' nataka mfurahi Wengine wanadai eti mimi sifai Eti wanasema Dully mimi najidai Ama kweli ngombe wa masikini hazai Hata hivyo mimi bado ninawapa hi Inapopigwa Handsome club mi' sikai Nakwenda kuicheza wala mi' sioni shy Candy, Kelly, Scola, Noela, Zai Mademu wa kibongo wote wananipa hi, yo Hi, baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo (Hi) baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo Yo, kabla sijaimba walininyima hi Sasa ninaimba wote wananipa hi Katika kambi yetu mnafiki hafai Tutampa kipigo mpaka mwisho hazirai "Hallo, Bill Gate kumbuka nakudai Ile billioni kumi haina masilahi Ukimuona Venture au DJ Makai Wape pesa yangu wailete Osterbay" (Pss, pss, pss, njoo Dully Sykes) Ukipenda wewe niite mzee wa mikasi Mtambulishe demu wako we' unione nuksi Jaribu siku moja ili unipe kesi Kwenye 18 waga mi' ni mikosi Ninapolenga kitu sikuzote mi' sikosi Ebu nitambulishe faster wacha ku-delay Natongoza yoyote hata kama Mmasai Na nikimpa hi, nae ananipa hi Na mwanzo wa hi, mwisho wakikua hi, ye Hi, baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo (Hi) baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo Eh-he-he-he, oh, this is the Dully Sykes Ha-ha Mr. Delicious Ha, Mika Mwamba, yo, ah-ha, yo Hapo mwisho, mwisho kabisa Hi, baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo (Hi) baby say hi Nakupa tabasamu pale unaponipa hi Hata kama upo ovyo punguza nishai Masela na mademu na niko say hi, yo (Kama nilivyokwambia basi anaitwa Prince Dully Sykes) (Ambaye basi nyimbo hiyo inaitwa Hi)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out