Lyrics

Wawawawaa Wawawawaa Wawawawaa Wawawawaa Gopa Beatz Huwaga mapenzi yana utesa moyo Wengi wanapagawa Endapo ukiamini unajua mapenzi Utalivuka daraja Wengi wanasema Eti yana dawa Hivi nani aliye pendwa? Ingawa na mimi Ukaniona sawa Ndio wale wale walio tendwa Hata na mimi nibaki hivihivi (Hivi hivi) Nibaki hivihivi Nisiwe wa kujisonya nitaumia (Wawawawaa) Nishushe nanga nibakie (Wawawawaa) Yani ni bora nituliee (Wawawawaa) Maumivu ya mapenzi nisivamie (Wawawawaa) Nijivute vumbi nisijichafue Maumivu ya kidonda Nikazi kuya himili (Haayeee) Unaweza ukapona Lakini ikawa bado ndani (Haayeyeee) Natena ilivyo tabu Mateso kuyakabili (Haayeee) Ukose pa kupapasa Moyo uwe tafarani (Iyeee) Hata na mimi nibaki hivihivi (Hivi hivi) Nibaki hivihivi Nisiwe wa kujisonya nitaumia (Wawawawaa) Nishushe nanga nibakie (Wawawawaa) Yani ni bora nituliee (Wawawawaa) Maumivu ya mapenzi nisivamie (Wawawawaa) Nijivute vumbi nisijichafue Nisiwe wa kujisonya nitaumia (Wawawawaa) Yani nitaumia Nitaumia (Wawawawaa) Gopa Beatz
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out