Lyrics

Aloneym pon de track Kama haujui silali mpaka nikuombe Uamke mzima kesho nikuone Na kama haujui silagi mpaka uonje Maneno matamu kwa kinywa Nibembeleze Na moyo unapo ugua hutulia taratibu Nikianguka unaninyanyua nisiwazee Maradhi niliyo ugua Yamepona taratibu Nikianguka unaninyanyua Nisiwazee Tena tuwahofie Wapambe wapambe Wapambe wapambe Wapambe wapambe Wapambe wapambe Nikujuze kwa wallet nina picha yako Huwaga silali mpaka tuongee WhatsApp call Nishazoea kulala ubavuni mwako Hapo ndo nitasinzia usingizi fofofo Penzi letu ngozi ya papa labda watutoe maganda Si wanipenda na kupenda tumegandana Viberenge tu Wanaomba leo kesho Kutwa maneno Viberenge tu Unitupe kwenye shimo Wacha watusengenye tu Nami kwa mechi sitoki boko Viberenge tu roho juu Na niwape taarifa nilisha mpima Maradhi yote hana Dactari wake nampa tiba Na moyo ulipo ugua ulitulia taratibu Ukaanguka nikakunyanyua usiwaze Maradhi uliyougua nimeyaponya taratibu Ukianguka nitakunyanyua usiwaze Tena tuwahofiee Wapambe wapambe Wana me neno maneno hao Wapambe wapambe Kutwa chokochoko my love Wapambe wapambe You just be careful Wapambe wapambe Aa bad man!!!!!!!!!
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out