Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Haitham Kim
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Haitham Ghazal Seif
Songwriter
Lyrics
Aloneym pon de track
Kama haujui silali mpaka nikuombe
Uamke mzima kesho nikuone
Na kama haujui silagi mpaka uonje
Maneno matamu kwa kinywa
Nibembeleze
Na moyo unapo ugua hutulia taratibu
Nikianguka unaninyanyua nisiwazee
Maradhi niliyo ugua
Yamepona taratibu
Nikianguka unaninyanyua
Nisiwazee
Tena tuwahofie
Wapambe wapambe
Wapambe wapambe
Wapambe wapambe
Wapambe wapambe
Nikujuze kwa wallet nina picha yako
Huwaga silali mpaka tuongee WhatsApp call
Nishazoea kulala ubavuni mwako
Hapo ndo nitasinzia usingizi fofofo
Penzi letu ngozi ya papa labda watutoe maganda
Si wanipenda na kupenda tumegandana
Viberenge tu
Wanaomba leo kesho
Kutwa maneno Viberenge tu
Unitupe kwenye shimo
Wacha watusengenye tu
Nami kwa mechi sitoki boko
Viberenge tu roho juu
Na niwape taarifa nilisha mpima
Maradhi yote hana
Dactari wake nampa tiba
Na moyo ulipo ugua ulitulia taratibu
Ukaanguka nikakunyanyua usiwaze
Maradhi uliyougua nimeyaponya taratibu
Ukianguka nitakunyanyua usiwaze
Tena tuwahofiee
Wapambe wapambe
Wana me neno maneno hao
Wapambe wapambe
Kutwa chokochoko my love
Wapambe wapambe
You just be careful
Wapambe wapambe
Aa bad man!!!!!!!!!
Lyrics powered by www.musixmatch.com