Music Video

D Voice Ft Mbosso - Mpeni Taarifa (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
D Voice
D Voice
Performer
T.RONE
T.RONE
Performer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Performer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
D Voice
D Voice
Composer
Mbosso
Mbosso
Composer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
T.RONE
T.RONE
Producer

Lyrics

Waasaafi Eeeeeh eh! Hhhhmm hhm! Hhm! Mpeni taarifa nnaye share nae Mwambieni bado nipo nipo saaana Hadi kibanda nishajenga nae Na tunaelekea kuzaa na wana Asa nimuache ntaishije mjini Nimuache nimuachie nani Siendi popote Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!) Ampende pekeake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!) Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake(Siapo sasa!) Ampende pekeake ye amekuwa babaake Aaah ooh! Siapo sasa! Ooooh oh! Aaah ooh! Ooooh! Hhhhmm eeh! Hhhhmm ooh! Hhhhmm eeh! Ukila masaki si twala Oysterbay Coco mishikaki si vacation Dubei Analipa vikoba analipa kodi Kaniagizia kindinga ki range vogi Tatizo lako shoga chumbani haunogi Kutwa kifo cha mende haujui ata dogi Kwako akileta mafuta abaya mitandio Mie pia kwangu super miamala na salio Tutabanana hapahapa tutabanana aaah! Kama leo kwako kesho kwangu twapokezana oooh! Tutabanana hapa hapa tutabanana aaah aah! Kama subiani mie makata tutajuana Asa nimuache ntaishije mjini Nimuache nimuachie nani Siendi popote Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!) Ampende peke ake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!) Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa) Ampende pekeake ye amekuwa babaake Siapo sasa! Aaah ooh! Tutabanana hapa hapa jino kwa jino aachwi mtu Kama sijampata wa kwangu kumuacha asahau miaka buku Haya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala Eeeh! Na ukijitia kususa wenzako twala Eeeh! Ukipanda mi nashuka ka daladala Ukijitia kususa wenzako twala Na ukisusa susa susa wenzako twala Si unasusa susa susa wenzako twala Subutu kususa susa susa wenzako twala Eeeh! Jitie kususa susa susa
Writer(s): Abduli Hamisi Mtambo, D Voice, Mbosso, Mbwana Yusuph Kilungi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out