Lyrics

Mapenzi Yalikuja kwangu kama idea Hila kukupenda siku tarajia Sikuona wala ku sikia Mpenzi kama wewe upo kwenye hii dunia Oh baby bwana shikamo nakusalimia Unavo nipa sikuona wala kusikia Natamani Kuwa hadithia Ili nao waelewe ninayo pitiya Usisahahu Moyo wangu Wakike Ukipenda umependa kweli Usinidharau baby wangu We nipe Nikipenda mi chizi kweliii Oh oh oh moyo Oh oh moyo Oh oh moyo utapasuka Oh oh oh moyo Oh oh moyo Oh oh moyo unashitukaa Hiviii ukipenda Unakuwa chizi Unakua Lofa Unakua bubu Unakua kiziwi Unakua jau Ooh my Ama hivii mapenzi Ukishayaoga unakua huoni Unaweuka unajisahau Ooh my baby Mapenzii yananipeleka Huko milimani sa sijui nani Anitoe Usisahau (usisahau) Moyo wangu (moyoo) Wakike Ukipenda unapenda kweli Usinidharau (usi nidharau) baby wangu We nipe Nikipenda mi chizi kweliii O00h moyo Eehh moyo we Baby Moyo Utapasuka Oh oh oh moyo Oh oh moyo Oh oh moyo unashitukaa Baby guno omwoyo gwange Twaala gunno mwonyo gwange Oh nana u nanaaa Buli wonkwaata baby Mpulilaa nsaanuka Yegwe eyandya obwongo Mpulila ondi eno mundaa Ate orunsi bwo oyogera edobozi Linyonyogeraa Baby come close to me Cause am running crazy without you You are the woman of my love my heart and soul Baby ndagukundaaa Ngye ndagunda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out