Lyrics

I wish ungejua vile uko moyoni baby I wish ungejua nnavyo kupenda I wish ungejua vile sioni sisikii I wish ungejua aah ooh my love We ndo pepo yangu (pepoo) Ndo kidani kwa shingo nikuvae We ndo tamu yangu Nipo radhi mimi nizikwe na wewe Nawe ndio msiri wangu (ooh) Tena nnje ndani unijuae Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe Ahh ahh ahh nakupenda Ahh ahh ahh nakupenda Mi ndo mwenye mapenzi yako nipoke Penzi furaha nicheke Nikiteleza nisamehe Ooh my Darling Nitalipigania penzi kidete Sogea karibu tutetе We ndo Chanda mi pete aahaa Uuh jamani Yako mahaba kama jini jini Bila kitеzo wala ubani na panda mimi Unavyo nichezesha makirikiri Nabaki ooh jamani Nawe ndio msiri wangu Tena nnje ndani unijuae Dunia ingekua yangu tungebaki wawili mimi na wewe Ahh ahh ahh nakupenda Ahh ahh ahh nakupenda Uuh ye yee Wewe ni wangu ni wangu Kwa mboni nakuona wewe tu Wewe ni wangu ni wangu I love you, I love you Baby Wewe ni wangu ni wangu Hata wakisema nini sikuachi Wewe ni wangu ni wangu I love you, I love you Ohh jamani
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out