Lyrics

Maswali mengi yanini Si unajua kwako niliteleza Si unanipangiaa kwa maana Mwenzako nashindwa kujieleza mmh Nimeekudhi am sorry baby Siunapenda kingereza Simu unanikatiaaa ndo maana Nakosa muda wa kubembelezaa eeehh Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost Inaniuma balaa, kwako sina maana Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa Niache ning'ae, acha unikatae Nikiulizwa najibu siko nae Tena usishangae, huko badaee Nitapata mwengine Umenibadilisha weweee Umenibadilisha weweee Umenibadilisha weweee Umenibadilisha weweee Umenibadilisha weweee Siku hizi usishike simu Utakutana na message za kina mobetto Mara moja moja wanajimalizaga Utashikwa na presha mamaa Tena nimekuwa mwalimu Wa mapenzi yale yale ya sambaloketoo Ulishindwa kungoja ukanipotezaga Mapenzi yakanitesa sanaaa Kumbe nimepiga mimi mbona hujasema Kavocha cha ngama unanimaliziaa Hebu piga wewe hukoooo aaayyyaaaa Nilikukosea nini, mbona hukusemaa Ukaniandama ukanipanikiaa Unajiliza nini hukooo aaayaaaa Mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost Inaniuma balaa, kwako sina maana Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa Niache ning'ae, acha unikatae Nikiulizwa najibu siko nae Tena usishangae, huko badaee Nitapata mwengine Umenibadilisha weweee (umenibalisha) sikuwa hivi Umenibadilisha weweee (badilisha mapenzi ingawa nilikupa mimi) Umenibadilisha weweee (sikuwa hivi babe nyumbani nachelewa kurudi) Umenibadilisha weweee (mapombe mengi kwenye begi aah) Umenibadilisha weweee hapooo Mmmh mmmh Lody music on this one Lupaso kid on the map
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out