Lyrics

Ni majani mapenzi Nimeamini kweli huota kokote Hata kwenye ukame Ni upepo mapenzi Nimeamini kweli huvuma popote Hata kwenye jua kali Sukari guru Naongezwa na muwa Hainidhuru sumu Napewa maziwa Utamu chokoleti (Anhaaa) Napepewa sisweti (Oyaaa) Silishwi michikichi (Anhaaa) Misupu ya samaki (Oyaaa) Nawaibia Siri Sihitaji wa shauri Itawapanda ngiri Kwa yenu maneno na kauli Tumeivana na yeye (damu damu) Damu damu damu (damu damu) Daaaam daaam damu (kiapo cha damu) Tumeshibana na yeye (damu damu) Damu damu damu (damu damu) Daaam daaam damu (kiapo cha damu) Anipoza maumivu panadol Kwetu hakuna bingwa ngoma draw Ananiweza Ananijulia Yote mikeka ananichania Utamu chokoleti (Anhaaa) Napepewa sisweti (Oyaaa) Silishwi michikichi (Anhaaa) Misupu ya samaki (Oyaaa) Nawaibia Siri Sihitaji wa shauri Itawapanda ngiri Kwa yenu maneno na kauli Tumeivana na yeye (damu damu) Damu damu damu (damu damu) Daaaam daaam damu (kiapo cha damu) Tumeshibana na yeye (damu damu) Damu damu damu (damu damu) Daaam daaam damu (kiapo cha damu)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out