Lyrics

Ooh My Wananiita Jay, Jay once again Sema wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji S2kizzy baby Yeaaaah Stress zitakutia kichomi alafu damu itakukauka (pauka) Na wala hatujaanza kuchukiwa leo toka enzi ngozi imepauka (pauka) Afu kuhusu mipango inajipangilia yenyewe tu Ndo maana unaona kama tunakausha (kaushaa) Tuna jimix sana na watu wasio tupenda Na ndo mana uwezi kuona tunatoka bila baunsa Kilichobaki ni ku-maintain (maintain) Hatutakiwi kushuka tunatakiwa kupanda Hatuachi kupambana mpaka tuwe kama wao Tunatakiwa kushinda hatutakiwi kusanda Wengine mwanadamu kama mimi Na anakesha kupambana kupangua mpango wa Mungu alioupanga Na hatuwezi tukarudi tulipotoka Japo bado hatujafika tunapotaka ila Alhamdulillah Sina mawazo Sina mawazo Sikuwazi usiniletee hizo Muda wangu kutafuta mshiko Siwezi kurudi nilipotoka mwanzo Sisi kama sisi kujituma Kila kona shangwe itakuuma We kaulize utaambiwa Kucheka cheka kununa nuna, hizo habari Hatuna hatuna Hatuna hatuna Hizo habari Hatuna hatuna(weeweee) Hatuna hatuna Hizo habari hatuna Wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji Yeah Aah-aah siku hizi mboga zinapikwa kwenye kitchen (kwenye kitchen) Sasa hivi namba wanazisoma kame tuition(Kama tuition) Since tushasota sana Sahivi huwezi kutukosa Na watoto wawili watatu kwenye session (say session) Na hauwezi pata tunatoswa na hizi pisi kali (pisi kali) Ukitaka kutuonesha ukali sisi wenyewe wakali (si wenyewe wakali) Tushasota kwenye jua kali, mvua kali, dua kali Mpaka mambo yamekuwa shwari Si unaona nyama zinachomwa kila siku (kila siku) Afu bata tunakula kila week (kila week) Tafuta pesa baba pesa kila kitu Huoni kesi kesi ndogo ndogo zinasafishwa bila gik Na hii maana ake sio shida zetu tushavuka (huuukooo) Na hii maana ake brands zishakua ni super Na hii maana ake hatuna tatizo wala hatuna Mawazo kila kitu kinaenda sawa na mzuka wuuuu Sina mawazo Sina mawazo Sikuwazi usiniletee hizo Muda wangu kutafuta mshiko Siwezi kurudi nilipotoka mwanzo Sisi kama sisi kujituma Kila kona shangwe itakuuma We kaulize utaambiwa Kucheka cheka kununa nuna, hizo habari Hatuna hatuna Hatuna hatuna Hizo habari Hatuna hatuna Hatuna hatuna Hizo habari hatuna Wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji wantaramela Wansekeji
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out