Lyrics

Are you ready to receive Permanent Blessings Tonight? For the blessings you have Received tonight are no Longer temporary there Permanent praise Jesus Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe Niko sure na huyu mzee Kanitendea Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe Niko sure na huyu mzee Kanitendea Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent Yeeih Yeeih Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent Yeeih Yeeih Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent We don't stop Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena tena tena Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena tena tena Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Permanent permanent Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake We don't stop Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Yeeih Yeeih Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Baba kasema nisihofu Yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Yeeih Yeeih Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Praise Jesus Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena tena tena Oooh hatutanyang'anywa tena Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Tena tena Oooh hatutanyang'anywa tena hatutanyang'anywa tena Asanteni sana Mungu awabariki sana
Writer(s): Neema Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out