Lyrics

Hiki kinywa changu Na huu moyo wangu Vimejawa na sifa zako Ewe BWANA Mungu wangu Yale umetenda kwangu Sio siri, ya moyo wangu Bali ni ushuhuda wa wazi kwa mataifa yote Acha niseme nieleze Niwaambie wajue Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Acha niseme nieleze Niwaambie wajue Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Hiki kinywa changu Na huu moyo wangu Vimejawa na sifa zako Ewe BWANA Mungu wangu Yale umetenda kwangu Sio siri ya moyo wangu Bali ni ushuhuda wa wazi Kwa mataifa yote Nikihesabu mambo ni mengi Umenitendea Hisani kubwa BWANA Umenisaidia Milimani na mabondeni Ulinisaidia Ahsante BWANA Kwa neema ulonipatia Nikihesabu mambo ni mengi Umenitendea Hisani kubwa BWANA Umenifanyia Milimani na mabondeni Ulinisaidia Ahsante BWANA Kwa neema ulonipatia Acha niseme nieleze Niwaambie wajue Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Acha niseme nieleze Niwaambie wajue Ushuhuda wa kweli Wa maisha yangu Eeh yeiih eeh Najua Najua Haitabaki kama ilivyo Hali hii ya sasa Hali hii ya sasa Najua Unatengeneza njia Pasipo na njia Pasipo na njia Najua Haitabaki kama ilivyo Hali hii ya sasa Hali hii ya sasa Najua Unatengeneza njia Pasipo na njia Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya sitalia Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Halaleya Haleluya Heey iiiih, uuh yeeeh Najua Haitabaki kama ilivyo Hali hii ya sasa Najua Unatengeneza njia Pasipo na njia pasipo na njia Najua Haitabaki kama ilivyo Hali hii ya sasa hali hii ya sasa Najua Unatengeneza njia Pasipo na njia Usiku wa leo hutolia kili sema Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia, Sitalia Sasa yatosha, Sasa yatosha Nimejazwa nguvu mpya Sitalia, yatosha, yatosha Amenijaza nguvu mpya Sitalia, yatosha, yatosha Amenijaza nguvu mpya Sitalia, yatosha, yatosha Amenijaza nguvu mpya Sitalia aah yeih, yatosha Nimejazwa nguvu mpya Haleluya, we worship you Lord
Writer(s): Neema Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out