Lyrics

Wale wawest wale wawest wako wet drip wale was east Kwa mabeast Betika betslip ujanja ya memes n bundle ig hatuezi Wahandle masponyo na mpango wa kando wanacompete na maninja islando Kenya sihami harambee×3 Nganya ngori ni kanambo Leo na fire shots Karambo baba yao agwambo tangu za kale tangu kitambo Kenya sihami(eey) Kenya sihami(yah) Kenya sihami sindo hujenga nyumba Hadi kwa lami na usiniite mukami Juu sina mangombe na Buda misikami Unaona kitambo Pole but mnaona n tummy
Writer(s): David Munga Ramadhan Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out