Lyrics

Uuuuh, yeah yeah yeah Kama si benzo, mrenga ni beamer Kama si benzo (yeah yeah) Kama si benzo (yeah yeah) Mrenga ni beamer (skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini? (yeah yeah) Kama si benzo (skrrt) Mrenga ni beamer East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali (akili hailali) Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Akili hailali, akili hailali Chapa tizi buda ni ka ni fainali Washa jiji unga ka ni halali Na ikibidi Uber ka sina rari (yeah yeah) Hii pesa ninayo ni ya street Juu ya muziki hainitoshi Nasepa karao, masnitch Sijitambulishi na mikosi Style mbichi sijai fosi Life in crime sisi na itos Mblein jiji tunaikoki Gang gang chain hubidi na floss Msupa sly ananiatuti aha Nishagamsuka naachia mbogi Design ka haijipi naiboza Walai sifaidiki na hii topic Yeah mabang'a wako paid Lawama kwa game hii jiji ni yetu Kuna fala alinifanya nijam Akaniomba msamaha na mimi si Yesu Beamer ikibidi lakini Nazozanga benz mbili na ni rental Nina msupa hupenda vitu ndechu Lakini ni ya gang ni yetu Kama si benzo (yeah yeah) Mrenga ni beamer (skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini? (yeah yeah) Kama si benzo (skrrt) Mrenga ni beamer East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali (akili hailali) Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Jamaa flani juzi alitense Venye rent ilitry kumpiga maukapi Nilimnyonga saa hiyo niko mabangi Mnjoro akafaint pindi tu alimnusia armpit Na venye nilikuwa nimempigia kambi Fuck it, manze nafeel nimewaste hiyo dhambi Police are coming niko like fuck it I just need some more few seconds Niko mahali siwezi kubali kutoka bila anything Juzi nilikalia mbao nikashuta Nimetoka prosecutor mtanikumbuka Niliwapora mamilioni wakanishika nikazisunda Sahii imebaki ni wao kunisuka No faces kama warges Ndani ya balaa clover niko missing Straight deep undercover Hatupay attention hizo details Hatuworry about hizo faba za kushikwa Na mama mzazi hajadishi Man I saw a brand new car wiki jana ya black Najua kuna siku nitajizama Mi ni racist najulikana But fuck it my dream Mwage ni ki German So bro jua Kama si benzo (yeah yeah) Mrenga ni beamer (skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini? (yeah yeah) Kama si benzo (skrrt) Mrenga ni beamer East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali (akili hailali) Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Friendzone kwenye benzo Kachimamo but ni ka kananyesha Nairobi finesse, mboka ni mbex Niliskia mboka ni mbex Friendzone kwenye benzo Kachimamo but ni kama kananyesha Nairobi finesse, mboka ni mbex Niliskia mboka ni mbex Kama si hii mziki Ningekuwanga jiji nikipona masela Ambia judge akule mafi Mpaka siku sisi tutaonana tena Otherwise form ni kuchoma mavela Kuchoma rada na kuchora vile Nitapata kiki juu nilisikia siku hizi Swagga ni kuzoza na benzo Kama si benzo (yeah yeah) Mrenga ni beamer (skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini? (yeah yeah) Kama si benzo (skrrt) Mrenga ni beamer East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali (akili hailali) Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (yeah yeah) Mrenga ni beamer (skrrt) Akili hailali, akili hailali Kwani iko nini? (yeah yeah) Kama si benzo (skrrt) Mrenga ni beamer East tuko down, akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Nairobi finesse akili hailali Akili hailali (akili hailali) Kama si benzo (kama si benzo) Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer) Tuko East tuko down na akili hailali Kwani iko nini? Kwani iko nini? Kama si benzo (kama si benzo)
Writer(s): Churchill Oganga Mandela, David John Munga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out