Lyrics

Niko njaa hata siezi karanga Hoehae shaghala bhaghala Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama Sitasimama maovu yakitawala Sitasimama maovu yakitawala Ufisadi, ubinafsi ukabila Kuuza sura hawataki kuuza sera Undugu, ni kufaana Sitasimama maovu yakitawala Siatasimama maovu yakitawala Hard kuget wadhifa una deserve Bila cash ama kashfa Hii society kenye wanaeza Share ni nyungu ya busa Ama kettle ya shisha Mfuko zinasikia echo Utajua thamani ya mali na size ya kifuli, eeiyoo Hujaibiwa juu hauna ka kitu worth Risking jail time, police bullets for Unaeza argue Crime doesn't pay Lakini huezi dismiss justice ina bei Mwizi ana forty days 3-6-5 days later Anaendelea ku grow fatter Do anything for power Ready to lose their heads for presidency Bora waione kwa currency Sababu gani siko affected na turbulance Nikifly angani Nimezoea the same feeling Matatu zikipitia pothole Mtaaani, Juliaani, Yeah Yeeeaaahh Niko njaa hata siezi karanga Hoehae shaghala bhaghala Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama Sitasimama maovu yakitawala Sitasimama maovu yakitawala Ufisadi, ubinafsi ukabila Kuuza sura hawataki kuuza sera Undugu, ni kufaana Sitasimama maovu yakitawala Siatasimama maovu yakitawala Ndio wa raise funds Itabidi u raise hands Growing concerns Breakfast za croissant Hatutaki upunguze bei ya bidhaa Tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa Walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi Nimeshinda nikitembea ma ofisi na sijawai ona kazi Siezi cheza golf venye Tiger would Mambo si bara bara Ching Wu Naomba journey mercies Chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani Policeman anapiga rungu mwalimu Daktari anamrushia teargas Na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts Niko njaa hata siezi karanga Hoehae shaghala bhaghala Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama Sitasimama maovu yakitawala Sitasimama maovu yakitawala Ufisadi, ubinafsi ukabila Kuuza sura hawataki kuuza sera Undugu, ni kufaana Sitasimama maovu yakitawala Siatasimama maovu yakitawala Sewer za state house na latrine za ghetto Ziupatana Nairobi river No more nita live by Hand-to-mouth Ushai sikia maskini anaugua gout Nikiwa na nguvu ya kung'oa reli definately Kuinua kura si nzito Ukiingiza kwa ballot box chagua kiongozi wa kweli Moha, John Allan Namu Jicho Pevu Wakianika mkono refu ina pick-pocket wanyonge Navaa mask ka goal keeper wa hockey Hawaezi ni kerubo Kenya ni kama boxing hakuna sub Work with what we have Niko njaa hata siezi karanga Hoehae shaghala bhaghala Niko tayari, (kulipa) kulipa gharama Sitasimama maovu yakitawala Sitasimama maovu yakitawala Ufisadi, ubinafsi ukabila Kuuza sura hawataki kuuza sera Undugu, ni kufaana Sitasimama maovu yakitawala Siatasimama maovu yakitawala
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out