Lyrics

Kigoma aee Kigoma weeh (tunayo furaha) Leka dutigite Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite wishala mwineke K-k-k-k town Kasulu ndio baba alipozaliwa Ooh japo nipo Dar naupenda mkoa wangu K-K-Kigoma kama vipaji tumejaliwa Kaseja na Lunya fahari mkoa wangu Amawesele hivilibwani vikulava kadwumba (pozi kwa pozi) Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa Kigoma inapendeza sana Twashukuru hivi ndivyo ninavyosema Nina furaha, mbuga zetu Nina furaha, makumbusho yetu Ninafurahi eei ninafuraha Kigoma aee Kigoma weeh (Kigoma) Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aee Leka dutigite wishala mwineke Kigoma ndipo nilipotoka Nimekuja Dar kutafuta Siku zote nitawakumbuka Najivunia na sitajuta (nakumbuka) Nakumbuka mama alisema (nakumbuka) Mkataa kwao mtumwa (datugite) Kigoma inatambaa Tanganyika inabamba Tufurahi, tusherehekee pamoja Twajivunia Kigoma Tunamshukuru maulana Kigoma lango la Tanzania Bandari kwa kahawa shaba kwa matania Amani kwa wazawa Kasulu, Kibondo, Ubunza Avandu bakundi vikogwa Ziwa refu tunalo Na madini tunayo Tuna mbuga za wanyama kama Gombe na Mahale Ardhi safi tunayo Na vipaji tunavyo Sauti safi tena tamutamu tamutamu Vigelegele na mashamushamu shamushamu Kigoma yetu mambo bambam bambam Meli ya Lyemba Wanasiasa mashujaa Watetezi wa taifa ye Kigoma tunatoka wote mastar ye Miss Tanzania K-lynn ye Kaseba champion ye Leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aee Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aee Leka dutigite wishala mwineke Kule kwetu migebuka Wese na ugali wa muhogo, aga wa muhogo Ndio vimenifanya nikawa Diamond Kwa vitenge na mashuka, ah Mise na chumvi kidogo, aga kidogo Na tena mbuga nikawa mfalme Tena Kigoma ya sasa sio kama ya zamani Kigoma ya leo imesonga mbele Kuzebazeba ya sasa sio kama ya zamani Kasulu ya leo Amani na upendo Ndio lugha ya Kigoma Kigoma ishagoma Kigoma yaenda mbele Rangi yako ya kijani Upepo wako ni mwanana Kigoma nakupenda Kigoma unanipenda Amani itawale Kigoma Amani itimie Kigoma Amani mlinda Kigoma, shigoma Kigoma Amani itawale Kigoma Amani itimie Kigoma Amani mlinda Kigoma, shigoma Kigoma Shukrani Kigoma Kigoma nyumbani Kigoma Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aye Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aye Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aye Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aye Leka dutigite wishala mwineke Kigoma aee Kigoma weeh aye Leka dutigite wishala mwineke
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out