Lyrics

Oh bby nigande nigande kama luba nikugande mwaya Usiwape mwanya wabaki wakibambanganya We niweke kwa kiganja aah Ooh mama mia mambo mbaya Siunajuwa sina ujanja Nakufagilia toto fire Kwenye ukulutu anikunia Kwenye bed naikamia Tena na kucha nasimamia Mpaka na ngazi naipandia Basi nipe kidogo bby One more One more night Nikunogeshe hatari One more One more night Nikulambishe asali bby One more One more night Basi nipe kidogo bby bby oooh bby eeeh eeeh eeh Oooh wooh oooh oooh oooh woo Nina mwili wa mapenzi penzi Usijewasha moto ukauchochea Tulipalilie penzi Tena lichipue bila mbolea aah aah Chunga shilingi inauwaga bby Mchezo wa kupata kupotea Maana mapenzi ya leo ya kuitana honey Utachezeshwa kidedea When i say i love you love you Say you love me back Kwako chiba wa magongo bila we siwezi i swear wallah i go die Kwenye ukulutu anikunia Kwenye bed naikamia Tena na kucha nasimamia Mpaka na ngazi naipandia Basi nipe kidogo bby Basi bby up and down Up and down up and down Up up upr and down Katika katika Basi bby up and down Up and down up and down Up up up and down Zungusha zungusha Up and down Up and down up and down Up up up and down Uwooh uwouwooh
Writer(s): Suleyman Salim Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out