Lyrics

Hodi hodi nyumbani mwako Bwana, ninabisha nifungulie, Nimekuja nyumbani mwako leo, Nimekuja kukuabudu, Kwa unyenyekevu naijongea – meza yako yenye baraka, Nakuja na sala zangu ee Bwana – nakuomba zisikilize, Ninakutolea sadaka yangu Mungu Baba uipokee 1. Nyua za Bwana zapendeza zinapendeza macho kama nini, (natamani kuingia hekaluni kamwabudu) 2. Nimeingia Hekaluni nimeingia Hekaluni mwako ( Nimekuja kuabudu kusujudu, nyumbani mwako) 3. Uipokee Mungu wangu wangu unitakase mimi mwenye dhambi.(Nimekuja mbele zako Mungu Baba unipokee)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out