Lyrics

vee money figisu ndo kitu mi sinaga nje mpka ndani namconquer na swaga wananiuliza kitu gani nampaga real love, ndo nampaga mie figisu ndo kitu mi sinaga nje mpka ndani namkonga na swagga wananiuliza money kipi unampaga real love, ndo nampaga mh mie simwachi mwachi mwachi wanga hawana nafasi fasi, fasi wameanza kukachi kachi kachi hakuna nafasi ya duasi duasi duasi oh lord simuachi muachi muachi wanga hawana nafasi fasi fasi wameanza kukachi kachi kachi hakuna nafasi ya dausi duasi duasi maisha zawadi furaha maisha zawadi kwaja kikubwa kumudu karaha visa visa si balaa maisha zawadi furaha maisha zawadi kwaja kikubwa kumudu karaha visa visa si balaa ah ah together we the champion() champ together we the champion()champ together we the (baby u n me) na kama kama nisinge kuwa macho nisingeweza linda kile nlicho nacho drama drama nishatemana nazo baby hatuna tena mawazo kama kama nisinge kua macho nisingeweza linda kile nlicho nacho drama drama tushatemana nazo baby hatuna tena mawazo oh lord simuachi muachi muachi wanga hawana nafasi fasi fasi wameanza kukachi kachi kachi hakuna nafasi ya duasi duasi duasi oh lord simuachi muachi muachi wanga hawana nafasi fasi fasi wameanza kukachi kachi kachi hakuna nafasi ya duasi duasi duasi maisha zawadi furaha maisha zawadi kwaja kikubwa kumudu karaha visa visa si balaa maisha zawadi furaha maisha zawadi kwaja kikubwa kumudu karaha visa visa si balaa together we the champion() champ together we the champion()champ (mwisho)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out