Lyrics

MC samaki shombo aah, Nahodha ndio kwanza nawasha chombo Bongo dar fata uende kombo ah Nitukuane kijamaica bambatraa Eh rap sijaanza juzi Toka bwana joti hayajui makuzi Inanipa pesa nakoga kwenye jakuzi Mic mi nadaka toka hata ya slali Mtoto anaekula bata mpaka bata ina smile Rap game sio tabaka ntachange mastyle Homeboy pia tabata msipaone ni mbali Eeeh mganga najiganga Niko na cassim kabla ya kuwa mganga TMK wala hawayajui mapanga Bi saida kallori nae hazijui karanga Mara anachambua kama karanga Kwahiyo nduki ukiniona lazma utokr nduki Hustuki siogopi simba sijabeba bunduki steel km D na uncle snuppy Mademu wakiniona bongoland wanavua chupi Gucci ndio zimewafanya wakae uchi Poa basi mwanangu Ali Kiba seduce me Nasikia kelele zinalia kila kona Wowowo wowowo kumbe ni mbwa koko Nasikia majibwa kila kona Wowowowo wowow kumbe ni mbea koko Hawang'ati hawang'ati kumbe ni mbwa koko Hawang'ati hawang'ati kumbe ni mbwa koko Maskini wee unabweka kama mbwa koko Tajiri weee niko studio naingiza vocol Game nimekubali naliteka soko Bling kila mahali wananiita mzee wa mitoko Kwahiyo dogo punguza nyoko nyoko
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out