Listen to Ni Come by Weusi

Ni Come

Weusi

World

15,140 Shazams

Lyrics

Eeeeeh Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Fashion you drive me crazy Mitindo mipya daily Utamu niteleze Unishi aniongezee Wafanya nije upesi Unaniachaga mwepesi Unafutaga mastress Nachopendaga huringi Madili pili kwa wingi Rand madola shilingi Kitaa sitakata ringi We are redeemer(ayayaa) Narindima Mgoshuandima(wee yeah wee yeah) Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Mchezo matanuzi kipa goal Kila tukirudi kisago Kila nikirudi ni trouble Ni trible Ni dampa nasweka lupango Nisije viruga mipango Na joka lishatoka pango Na watoto wanakaa mpaka we dim Nateka toto zote dsm Naleta mafrekechenism Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Nicome(yea yea yea) Unanifanya nije Ni tam(yea yea yea) Nakuja baru baru vile umenigaragaza Kifaru faru john vile ninawashangaza Nakuja kama serikali kuu ya kuliwaza Nakuja kwenye ziwa mama nimetua mwanza Nakuja ile kidakawa au kilakala Kama nmetoka bodi ni falafala Na nikicome nasimama sio kulala Namaanisha leo usiku hakuna kulala Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Ni taamu Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Unanifanya nicome Unanifanya nije Eh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out