Lyrics

Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyovimba utaonaje yani kwanini Nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje? Nasema kwanini nikublock utaonaje ninavyovimba utaonaje Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje utaonaje×4 Ninavyovimba utaonaje×2 Nko kwa flightnasubr kudipature Asa kublock utaonaje xaxmaisha pombe Na muziki kam darasan kitoka dubai Natua mombasa ex wang amuone dem wang wa xaxa Jinsi alivyo takata Hivyo tulivyo jipata Siatajifia na kipafu Nikublock block kitugani Unataka kuroga karoge tabata Nikublock block kitugani Et maneno ya mkosaji malipo ni duniani Kwanza mm mwenyewe mati Ninapo tamba watoto hawatambi Wanao nichukia wananizidi had dhambi Baba wa familia halafu mama Nandy Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyovimba utaonaje yani kwanini Nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje? Nasema kwanini nikublock utaonaje ninavyovimba utaonaje Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje utaonaje×4 Ninavyovimba utaonaje×2 Najua una bando Kama huna sema nikutumie Nataka nipost majigambo Ili wachawi wote ndio muumie Wanao taka nifel nataka ssalam iwafikie Niko vizur kwel kwel Acha na watu waingie Ooooh naah Nazid kungala ukiniombea mikosi Ufukala sina sasa nipo kiboss Bata kila siku sio mpka jumamoss Najua hujala iila nataka post misosi Oya wachawi nishanunua gari nishanunua nyumba hapo vipi hapo vip Mnao niloga Pemba huku nishajenga hapo vipi hapo vip Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyovimba utaonaje yani kwanini Nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje? Nasema kwanini nikublock utaonaje ninavyovimba utaonaje Asa kwanini nkublok utaonaje ninavyoringa utaonaje utaonaje×4 Ninavyovimba utaonaje×2
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out