Listen to Tuachane Mdogo Mdogo by Barnaba

Tuachane Mdogo Mdogo

Barnaba

30,210 Shazams

Lyrics

Na spend muda na vavangaa Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa (ebo) Kila kitu unatambaa Wajigamba waniona dugagambaa Nilipoteza mudaa, na ukaringa Ukaniona mjingaa Na umeharibu mipangoo Nini spend muda kuwa chinii Ili nikuwin umenitupaa ng'amboo Kukupenda sababu Moyo umeupa maumivu Hata bila sababuu Moyo umeupa ghazabuu Kukupenda ndo sababuu wanipeleka Putaputa wanipeleka Kukupenda ndo wanipeleka Putaputa wanipelekaaa eeeh Tuachane mdogo mdogo Na me nikwache mdogo mdodo Ya nini marambano na zogo Tuachane mdogo mdodo Tuachane mdogo mdogo Naminikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Ooh no no noo Nahisi nimeonewa eeeeh Kwa haya nilifanyiwa eeeeh Penzi langu bembea eeeeh Wamebembea wengineeee Shimo mwenyewe nilichimba Ndo linalonizika najiuliza kwanini Mapenzi yote nilimpaa Angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainiii Kukupenda sababuu Moyo umeupa maumivuu Hata bila sababuu Moyo umeupa ghazabuuu Kukupenda ndo sababuu wanipeleka Putaputa wanipeleka Kukupenda ndo wanipeleka Putaputa wanipelekaaa eeeh Tuachane mdogo mdogo Na me nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Kukupenda ndo sababuu wanipeleka Putaputa wanipeleka Kukupenda ndo wanipeleka Putaputa wanipelekaaa eeeh tuachane mdogo mdogo Nami nikwache mdogo mdodo Ya nini marambanoo na zogoo Tuachane mdogo mdodo Yo Cadrick Heheee Emma the boy Heheee Killing the beat No no no nooo huooooo Niliweka malengo nayeee Ameharibu mwenendoo Penzi kalitia pengoo mmh Simung'unyii sihemiiii classic Unipeleka putaputa wanipeleka Unipeleka putaputa wanipeleka
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out