Lyrics

Kaa nami ee bwana wewe ndiye ngome Ngome yangu imara chini ya mbawa zako Nitajificha nisione uharibifu eeh bwana Nakuhitaji kwenye maisha yangu Nahitaji neno lako niishi Mimi bila wewe nimepote eeh bwana Nahitaji kuimarisha imani yangu
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out