Lyrics

Nakucheck, check, check kila kona Bara mpaka pwani bado sijakuona Moyo wangu unauma mie, japo nikuone mi nitapona Nimekwenda hospitali, mbali-mbali wanadai dawa yangu ni wewe We ndo wangu daktari, sitapona, sitaishi tafadhali nielewe Bado napenda kuishi bado nataka kuishi Nionee huruma mwenzio (eh) Nitibu hata kwa kiss, naishi kitatanishi mpaka useme ndio (eh) Unavyokatika, katika zungusha, zungusha juu mpaka chini mi nabaki hoi Unapo tingisha, tingisha binuka, binuka, back and forth mi nabaki hoi Ma, unang'aa kistaa, kukuona ni adimu kama nyota ya jaha Unasifika kila kona ya mtaa, njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa Dah, naahidi kukupenda cause nakupenda Haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda Twende wote popote unapokwenda, nakiri mimi Mateka na kwako nime-surrender Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado Mtoto iko kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, Kamili gado Watu wengi wanishangaa, kwa nini kila siku mi sina raha? Afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose furaha Wana sema nimechizi, wana sema nimenock Wana sema sema usiku wata lala Njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknock tuwatoe kafara Furaha yangu ni wewe, maisha yangu ni wewe Fikra zangu ni wewe tuu Ndoto yangu ni wewe, maisha yangu haya hayana na tamani bila wewe tuu Natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na maisha yote Ili twende nikutambulishe nyumbani, kwa kuwa una sifa zote Nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na maisha yote Mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na milele yote Ah, you the one and only, sina nia ya kuzingua niamini shorty Usishangae wakinyoosha vidole Wanadhani uko Single wabadili story We ndo wangu wife material, uzuri na tabia zinafuta changu kilio Ado, ado mambo bado wape kisago, mtoto upo kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado Mtoto iko kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado Usi-niache mi (eh), usi-niache mi Usi-niache mi (eh), usi-niache mi Ukiacha peke yangu na mawazo nakonda Usiache mi Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda Iye, eh, eh (iye, eh) Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Mtoto iko kamili gado, kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado Mtoto iko kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado Nakupenda we, mi nakupenda wewe Nakupenda we, mi nakupenda wewe Nakupenda we, mi nakupenda wewe Nakupenda we, mi nakupenda wewe Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado Kamili, gado Kamili gado Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado Kamili gado
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out