Lyrics

Mrembo mwenye haiba usoni, uzuri usio na kifani Sauti yake ringtone, haiwezi ntoa mchezoni Kinanda, sauti yake minor ikipanda Kwako nimeshafika sasa ya nini kudanga You my baby looking so well Tuishi maisha ya raha ama dhiki its okay Excuse me baby can i take you for a date Kwako nimesaliti amri mateka i can say Nimekuvisha gwanda nimekuita commander Unafight kwa love walepale washa sanda Nipe mama nipe mama tujenge kiwanda Tutoe pombe zote hata wine ya kitanga Mi najua kwamba wanaconcetrate Nikikuacha wakunegotiate Kwako wamengoja sana ku inishiet Lengo lao kubwa ni kupenetrate Mmmh, uje nikubebe mgongoni, my dear Tucheze michezo ya utotoni, my dear Kwa furaha untazamapo machoni, my dear Oyaaa oya oyaaa aisee aisee Kinanda! Mtoto sauti laini Kinanda! Ya kutoa nyoka pangoni Kinanda! Usiombe akiwa ndani Kinanda! Kama ndege mwituni Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Tupa shuka(tupa shuka), uje kunikanda Hebu shika panga uje ulime shamba Sing for me sing a song we kinanda Ukichoka sana jilaze kwenye kibanda Ulivyojinogesha usoni Umewafunga midomo Utamu wa lips zako show me Njoo tushikane mikono Ulivyojinogesha usoni Umewafunga midomo Utamu wa lips zako show me Njoo tushikane mikono (We umenibamba asee) (MESEN SELEKTA) Mmmh Uje nikubebe mgongoni, Ma dear Tucheze michezo ya utotoni, Ma dear Kwa furaha untazamapo machoni, Ma dear Oyaaa Oya Oyaaa aisee aisee Mmmh, uje nikubebe mgongoni, my dear Tucheze michezo ya utotoni, my dear Kwa furaha untazamapo machoni, my dear Oyaaa oya oyaaa aisee aisee Kinanda! Mtoto sauti laini Kinanda! Ya kutoa nyoka pangoni Kinanda! Usiombe akiwa ndani Kinanda! Kama ndege mwituni Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Kinanda! Oooh Unanikosha unavyoonyesha cheko Baby basi ongeza hilo cheko Unanikosha unavyoonyesha cheko Unanikosha unavyoonyesha cheko Baby basi ongeza hilo cheko Unanikosha unavyoonyesha cheko Baby basi ongeza hilo cheko
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out