Listen to Sioni Thamani Ya Pendo (feat. Wakali Wao Modern Taarab) by Asia Utamu

Sioni Thamani Ya Pendo (feat. Wakali Wao Modern Taarab)

Asia Utamu

World

Lyrics

Ooooohhh aaaaaaaahhhhh Kila kukicha afadhali ya janaaa Nachukiaa nafsii yanguuuuu Usiku kwangu nauona mchanaaa Nalia na nafsi yanguuuuu Thamani ya penzi sina nipeni pole wenzanguu Nilichokipata sina zaidi ya maumivuuuu Kama mapenzi nampaaa kwa mada autakaoooooh Kama malezi sisemiii kwa jinsi nimleavyoooohh Nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa Nahaki ya kukonda mimi ohh Mwenyewe nimeyatakaaa Nahisi nimependa mwezenu pale pasipo pendekaaa Nahaki ya kukonda mimi ohh Mwenyewe nimeyatakaaa Heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa Mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaa Heshima niliilinda kwa kila aliye nitakaaaaa Mwezangu nilimpenda lakini sikuthaminikaaaaaaa Najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii Nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii Najiuliza ninakasoro gani jibu halipatikaniii Nisichoweza nini jamani nini uyu bwana ana niniiii Hawa thabiti,Rathia thabiti wapi Afsa Thabiti Heshima ya pendo iko wapiii nazidi mwezenu kudhalilikaaaa Maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa Heshima ya pendo iko wapiii Asia Utamu nadhalilikaaaa Maisha nayaona mafupiii kwamitihanii inayonikutaaaa Nilichokesea kipiiiiii,Mpaka natesekaaaa mieee Au niko tofautiiiii na hao anaowapata yeyee Nilichokesea kiiipiiiiii,Mpaka natesekaaaa wangu moyoo Au niko tofautiiiii na hao anaowafata baibiii Sikulazimisha pendoo, mwenyewe alilitakaaa Nilimuoneshaa langu huba,sasa mwenzenu najutaaaa Aaah sikulazimisha pendoo, mwenyewe alilitakaaa Nilimuoneshaa langu huba,sasa mwenzenu najutaaaa Sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee Nimevumilia mengi mpenzi wangu baba watoto wanguu weeehhh Sema kweli nimevumilia mengi sijakutenda kosa mpenzi weee Nimevumilia mengi mpenzi wangu baba watoto wanguu weeehhh Lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo Lakini leooo imefikaa mwisho kwa hili penziiii kawaidaa yakoo Nitarudi kwa baba na mama,Mawazo yangu yoote kwa watoto wanguu eeeh Mazoea pia yanatabu yakee,Nitajitahidi mpenzi nitayasahau eeeh Nitarudi nilipozaliwa familia yangu yoote itanipokeaaa eeeeh Hii ni ya wakali wao eeh,Saaaleekuuu Mkombozi thabiti Abduli Butua utuokoe wenzio eeeh,Mungu akuekeee Antii latifaaa upo kileleni mamaaa eeeh upo juu daimaaa Nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa Ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa Nishalia mimi sana mapenzi yanaumizaa Ni bora kutulizana kuliko kujiliwazaa Oooh baby oooh baby utanikumbukaaa Oooh baby aiii baby utanikumbukaaa Oooh baby aiii babyy utanikumbukaaa Mwanzo wa mapenzi nilipendwa nakuthaminiiwaaa Tena nilitunzwa mwanamkee oooh Tena nilitunzwa mwanamkee mieeeeeh Kama ninavyoitajika kutunzwaaaah Nilukuwa nitake nini mimi nisipeweee Baby niliitwa mimi honey nilikuwa mimiii Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee Pale wanapoanza kupendaa Wakipewa wakitakacho hubadilikaa,Kweli weeeeh Wakipewa wakipendacho wanakimbiiaaa Kumbe hiyo ni hulka baadhi ya wanaumee Oooh babyy oooh baby utanikumbukaaa Oooh baby aii baby utanikumbukaaa Oooh baby my baby utanikumbukaaa Chezea huba wewe mtu akikutokea utasikiaaa Oooh baby nitakujengea wakati yeye anakaa nyumba ya kupangaa Mara oooh honey unapenda gari gani nikununuliee Ukimfuatilia kutwa yeye yumo ndani ya madaladala inahusuu Eti ohh baby nipe namba yako ya siri ya bank what wizzi huoo Mmhhhhhh mmimi sitaki hiiii niya wawili wawilii eeeh Magreti Komba na Thabiti abdul,Othumani na Asia utamu Chukuaaa Cheza cheza chezaa cheza chezaaa chezaaa sakata sakata sakataa Zungusha zungusha zungusha cheza Ah rumba rumba chezaa Cheza cheza chezaa Anaitwa Jumanne Ulayaa Oooh babyy oooh baby utanikumbukaaa Oooh baby aii baby utanikumbukaaa Oooh baby my baby utanikumbukaaa Oooh baby my baby utanikumbukaaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out