Lyrics

Heres another one Ladies and gentlemen give it up for Professor Jay Nipo sana, leo Juzi na jana Wanoakwambia we mkali wanakudanganya Sikiliza hizi mambo mambo vile watu hunafanya Ni ngumu ngumu kumeza watu wote jicho nyanya Nawakusanya na nafanya nachofanya T touch piga gita mithili ya Santana Mtaa unaongea so pam pam tuvute Free ka Mandela so dance time turuke Bit inawasha utadhani ina pili pili Watu wanaamsha utadhani makili kili Salamu kwao salamu kwao mtaa wa pili Ukishindwa tingisha kichwa tingisha kiwili wili Shida zimeumbwa kwetu kwanini zitutese Komaa nazo zikikushinda njoo tukeshe Be happy wanangu vunja mifupa Haina kufail na kesho tunaanza upya Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa (vunja) Kama meno ipo Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa (Vunja) Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa Kama meno ipo Sometimes nakula bata utadhani naprint hela Sometimes issues za utata michongo kwenye besela Kama unawezafata ubebwe kwenye machela Hapa umeliwa umekula ndo zetu kisela sela Carrier yangu ya muda mrefu Zaidi ya umri wa young D Siishi kwa kuuza sura kwa kuwa nina plan B Kwenye mapenzi ya dhati Chongo naliona kengeza Hesabu ulicho nacho sahau ulichopoteza Wanakupaka pilipili we unawapaka wanja Watu washakufanya dili fikiri kabla ya kuanza No doubt my style is here for real izi ndo stanza Mi sio wa makilikili nampa dili Dogo Janja Maisha nchecheme nchecheme Niache niseme Kama umeshalikoroga limeze Ama liteme Ukintupia uchawi ngoma ngumu kama msondo Na chuma ukijidai nakuchapa Kwenye konde Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa (Vunja) Kama meno ipo Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa Kama Meno ipo Kama Meno ipo Kama Meno ipo Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa (Vunja) Kama meno ipo Vunja mifupa (Vunja) Vunja mifupa (Fupa) Vunja mifupa Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa Kama meno ipo Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa (iye) Vunja mifupa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out