Listen to Weusi Interlude by Weusi

Weusi Interlude

Weusi

Hip-Hop

3,464 Shazams

Lyrics

Mmmh (countr music baby) Weusi (aiiih), wanene Set it off Huna credit mtaa umezima data Hufiki wami mzee mwisho mkata Najua una vina ila vina ukata Vibao vya weusi watoto vibao kata Nipo na macrates kwa bars wanayumba haswa Kwetu mbembeanga kwetu simba kapakatwa Contract killer nobody safe topshatta Hatutake on twala linki kwa masaka Wavivu wa kuchimba mtakunywa maji taka Chukueni vitiki tunapiga tikitaka Tupo maghettoni tunacheka Chris Kaka Udaku na meide ndo tumefika hapa (mmh) Tunauza na mziki mnauza na mwili pia Naizo picha za utupu mnajibrand dear Sitaki hizo meza zenye offer za bia Kama mipango hamna mi nawakatia Mnachopenda kona tukipiga makasia Wanafiki mlale salama naweka mpaka njia Mkiacha kukamia mtaanza shika mia Ukila na wakubwa sio kufakamia (easy mmh) (Yeah) Tunaset bars ingia mtaa kwa mtaa Singo zimetosha album ziingie kitaa Uliimba nyimbo gani tena mbona kichaa Unamzungumzia nani wewe ni hizi namba Au ndo wale wale wewe niko najipanga Hio hamna ni stori bingwa wa kujieleza Na huyu naye mbishi mbona kama Nikki Maujanja tunasupply wengine yeye hafiki Sisi tunaweka levels muziki na upimp Muziki ni audio au video unauliza Huyu naye mune mule, kila siku vile vile You all sound the same mnaimba vile vile Hamna jipya kiki zenu ni zile zile Hamna MC kwenye mic saa hizi Singo haijaisha Insta unataka kutizi Mapicha picha ndo kitu mnauza sikuhizi Baba wa hardcore tamani mzibe koo Kweli hardcore kilingi ka kikoo Baba wa ukoo Nawaaga kisoo soo Na leo nawachana hamna nafasi kubanana Fake kwa wasichana kwa kina mama pata laana Wallet tunapanda mbele yetu hungoi mwana Chupi ndo inabana hewani haujanilipa bana Am a big nichi, dem dichi simweki ndichi Mi ni ticha nikivua sipigi mbichi Na siachi pengo nikifa nishaziba nchi Niite saa wasalimie masnichi Naskia kutushusha mmekulania Okay sisi tunakula bia Mko far tupo near Na msipokaza tutawakazia Wana tungo nyingi zimekosa manii Hazitungi mimba hawashiki manii Tukipigwa kiss wanakisirani Wenye kismati tupo kisimani Dem kama sio mkali anakamia Ukiona mwana anajisifu ana kibamia Ndoto yako kama huioti umeilalia Moja yako kama haikai umeikalia Sipigi tena shuti siku hizi ni visigino Sina watu feki tabasamu ni original Tukutane benki ni macheki namwaga wino Mambo ni ufundi kawa jina langu Robinho Mnunulie nguo tutamvua akishavaa Tukishasimama tutasema baby kaa Na tukishachoka tutapanda lako kaa Endelea kuvimba ukipita kwa kitaa (eeh) Mzee nikonyeupe kama sina lowa Papa don mwamba wanasaka madoa Wanaulizia ndoa papa zinaloa Kapa nawatoa kapa ni kutoa Mambo ni ya moto hakuna kupoa Kuku wanataga pale wanatutoa Nachukua mazaga naenda kupoa Beat linasaga flow zinakoboa Geu juu ya turu Kuchafu nitokako uliza waturu Na kuhusu kuwamada sina shaka zulu Na ukiingiwa mashaka jua ushajihuzuru Hoi ka umepigwa drip za mololo Hawatii mikono, mikono mfololo Na kwa hii mikono kujeni msororo Hapa majembe yanatii mi ndio sururu Kata wenge misibiji husha hatia tia Ukiulizwa ni nani alikudondosha ni Rapcha Nchi hii ni kama ile mipacha Tunavyowaondoa kwenye ramani departure Watamaduni si ndo tunatunza hii culture Wape habari wachuuzi halivuji pakacha Malalamiko mingi mnaleta utata Mcees wenu wakali tunapiga msasa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out