Lyrics

Aya,aya,aya Mi nataka niishi na wewe milele Mi nataka ni densi na wewe milele Uwe wangu beibe niwe wako mimi Milele milele (king kaka) milele milele Sitaki ulie incase ulie nakubembeleza Wewe wangu hivo ndiyo Mungu Alinitengeneza Big up to my mum alinifunza mi kupenda Big up pia chuki lakini siitumi kama vile BODMAS Sijai tumia tena na Mafisi wanataka kuninyanganya Hawatambui Bibilia Watakudanganya Sikua Na dollars cash au naira Akanishow no man Is an island ningekua dini angekua muumini Nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows Soma verse ya katikati Mi nataka niishi na wewe milele Mi nataka ni densi na wewe milele Uwe wangu beibe,niwe wako mimi Milele milele milele milele Sitaki ulie incase ulie nakubembeleza Wewe wangu hivo ndio Mungu alinitengeneza duty ni yangu mami nikulinde Na ukona smile ya dunia ingine Mapishi ya sternley Fashion ya Italy Mapenzi ya tanga Sura ya Kigali Hawatoshi waambie diamond na zari am so lucky aki! Nani alikutuma? Kuongezea ukona sense of humour Anajua ukweli ata ghafla wakiweka rumor Nimeona hii mapenzi niilete mbele ya umati tuexchange vows Soma verse ya katikati Waambie wazazi mi naja malkia mi nshampata Eeeeh!! iiiiihh! Mi nataka niishi na wewe milele mi nataka ni densi na wewe milele Uwe wangu beibe niwe wako mimi Milele... TOKODI
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out