Lyrics

It's your BOY, B'DOCK BABY Kusema ukweli ma, mi nimefika. Siwezi danganya, acha nikuite future. Usinipe penzi lakuandika na kufuta Nipe penzi nikianguka waniokota. Mapenzi sio pombe lakini yanalewesha Wala sikidonda lakini yanatonesha Wala simaradhi lakini yanaumiza Wala sinjaa lakini yanakondesha Panzi langu siomate kila mtu alipate Wala siomkate wakashiba watu wote Nampa nimtalaye ashindae wote Mi sikuachi napenda tuwe wote Sio penzi lakuandika tena nilifute Ni penzi lakuaaguka tena nikuokote Naomba unizalie nawatoto wote Nasema tufurai wote Ohhh, ohhh! Karibu kwenye moyo wangu Njoo nikupe true love Unachotaka utapata Njoo nikupe key to my crib Believe, me nitakupa true love Sio vitu ya mitanni I mean the real love Wawili tujenge siri, today by tomorrow tuanza fanana. Alfu tutoke, picha moja mbili tukipost insta Snap chat weka filter, wanao tuisi wabaki macho kodo Nakuahidi autakua bored, party after party kila Friday's! Saturday Netflix and chill, kwenya ghetto tuna piga music tuna chill Ukuminahisi penzi fulani, mamalama penzi lakini ni latari Njoo nikupe true love Unachotaka kwangu utapa
Writer(s): Sadiki Asumani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out