Credits

PERFORMING ARTISTS
Rebekah Dawn
Rebekah Dawn
Performer
Mercy Masika
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rebekah Dawn
Rebekah Dawn
Songwriter

Lyrics

Sauti nyingi zinanizingira Mawaitha mingi, njia nyingi Lakini najua Sauti moja tu la kufuata Sina Mchungaji mwingine ila Yesu Hata wengine wakiteleza njiani Nitazidi kuwa mwaminifu Kwake Nitaamini neno Lake Hajawahi kunipotosha Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea Oooh, Nitaendelea Njia zake zaaminika Neno lake ni la kweli Kwa hilo nitasimama Sitainamia dunia Sina Mwongozo mwingine ila Yesu Sijawahi ona mwenye haki ameachwa Waliokuchagua hawajawahi kujuta Kwa hivyo nitazidii Nawe, hata nisipoelewa Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea Nitakufuata Yesu Nitakufuata Yesu, Kiongozi mwema Mkombozi, sina mwingine Mfalme, sina mwingine Mwenye Enzi, sina mwingine Msaidizi, sina mwingine Mponyaji, sina mwingine Mtetezi, sina mwingine Mwokozi, sina mwingine Mfariji, sina mwingine Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea Nitaendelea, Ooooh Nitaendelea na Wewe, Yesu Mkombozi, sina mwingine Mfalme, sina mwingine Mwenye Enzi, sina mwingine Msaidizi, sina mwingine Mponyaji, sina mwingine Mtetezi, sina mwingine Mwokozi, sina mwingine Mfariji, sina mwingine Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea Hatua kwa hatua, nitaendelea Mungu mbele yangu, nitamfuata Hakuna njia ingine najua Hatua kwa hatua, nitaendelea
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out