Lyrics

Nenda sepaa leo nimekushtukia oh sitaki togo si ulikataaaa . nenda sepaaa nani unamwita dear oh sitaki togo acha tamaaaa Chukua time, chukua time, chukua time. time time Chukua time, chukua time, chukua time. time time Nilikupenda sana kisa sio star ukanitosa bwana mmh enzi hiyo mwe miss bwana kitaani uliniona ka shabiki sana aaah una pub ndio, tena we ni star bongo movie siomesahauu nilikutaka ndio ukanitosa kisa uko kwenye cover sio kwa dharau, we ni modo pia mpaka Asanali anakujua.mmh nilikutaka pia enzi za chuo we ndo ukawa unajisikia huu mziki kipaji show ya kwanza uliniona mzugaji c ah wimbo wa kwanza mtaji cd yanhu uka I mwagia maji mmh. mi naupendo ndio, ila haya mapenzi nayaona sio etiii adi ni hit ndio, niwe nawe ili kesho utambe kwa wenzio sitaki Nenda sepaa leo nimekushtukia oh sitaki togo si ulikataaaa . nenda sepaaa nani unamwita dear oh sitaki togo acha tamaaaa Chukua time, chukua time, chukua time. time time Chukua time, chukua time, chukua time. time time Nikiwa nawe nita hit ndio kwa Tv magazeti na Radio Miezi sita haupooo mrembo gani unashika chati kwa Skendo kwa style hiyo hunipatiii we tapeli mzugaji eti unapenda nyimbo yangu mmh nakujua muuaji, aahh mi sikutaki ndio nilipotoka nilikua na mpenzi ndio ndiomana niko hapa leo alinipenda hata kabla sija Hit mwaka jana. umenitunza ndio kwenye note umeweka namba ili iweje sio aah mi situmiki ivyo ata kama nina njaa hunipati hivyo. nilikutaka mimi ukakataa kisa sio star sina chapaa leo nilivyo hit unashangaa shobo zimezidi mmh, nakukataa nilikutaka mimi ukakataa kisa sio star sina chapaa leo nilivyo hit unashangaa shobo zimezidi mmh, nakukataa Nenda sepaa leo nimekushtukia oh sitaki togo si ulikataaaa . nenda sepaaa nani unamwita dear oh sitaki togo acha tamaaaa (Smo productions 2016) Chukua time, chukua time, chukua time. time time Chukua time, chukua time, chukua time. time time Mtanashati Entertainment Ostadhi Juma na Musoma Suma mnazaret Ommy Dimpozz Mmh ila Ostadh Juma kama inatosha hivi Ngoja nimalizie na Musoma Credits to Suma mnazaret Submit Corrections prepared by smorecords.blogspot.com
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out