Lyrics

Bboy on the beat Mmmmmh Mmmmmh yeah Mikono juu na surrender Acha dunia ijue muuni amenpenda Wangapi walikuja wakaenda Mbona ni wewe Mwenzako nahesabu calendar Siku na masaa yanakwenda Hebu fanyaurudi nakupenda Basi nielewe eeeh Kitaniumbua kifo kifo Nikiyaficha maradhi Sikujua before before Kumpata unaempenda ndio kazi Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia Pengine labda ukakasikia Ishara tosha kuwa najutia Fanya unisamehe ni mambo ya ujana Moyo unakufa ganzi nikifikiria Mazito tuliyo yapitia Yaliyo kufanya utaki ata nisikia Bado nahisi ni kama jana Hakuna aliye kamilika (kamilika) Hata unae mbhani malaika (malaika) Bado anaweza kuwa shetani Naukasema bora mimi (bora mimi) Ndoto yangu bado haijafutika Naamini siku itafika Tumwite sheikh na ubani Au tufunge ndoa kanisani Oooh beibey I miss you I miss you I miss you I miss you Kweli mapenzi hayaa ujanja Hayajaligi jina mkwanja Yani nimepita kila kiwanja Ila nimesasa kwa mtoto wa masanja Wewe ni mtu wa mungu tena mlokole Yanini app ya mange Wapiga majungu wakina lokole Wanao pakaza me nakula bange Naanguka makosa Tena nipo radhi kutoa posa Basi fanya urudi malikia Tuje kuanza tulipo ishia eeh eeh Waambie mashoga zako si kwa ubaya Ila me sipendagi kuongea Unamsemaje mwenzako bangi mbaya Kama hujawahi hata mgongea Hakuna aliye kamilika (kamilika) Hata unae mdhani malaika (bora mimi) Bado anaweza kuwa shetani Na ukasema bora mimi (naukasema bora mimi) Ndoto yangu bado haijafutika Naamini siku itafika Tumwite sheikh na ubani Au tufunge ndoa kanisani Oooh beibey I miss you I miss you I miss you I miss you Of course bboy on the beat Konde boy call me number one Bakhresa It's what it is baby I want you to come back It's what it is baby I want you to come back Come back my baby
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out