Lyrics

Lelelele... Ohhh lolololololooh Leleeeeh Oh lolololololooh Ah me ni yatima jamaaa sijamuona baba Wala mama Roho inaniuma Sana Sina chakufanya kuwaona Eeeeh (ata sura zao) Ooooh(naziona kweny picha tyu) Eeeeh(ata sura zao) Ooooh(aah kiliooh mhhhh) Eeeeh(na sura zao) Ooooh(nazionea kweny picha tyu) Eeeeh(na sura zao) Ooooh(ah kiliooh mhhhh) Me nmeambiwa baba yangu alikua mwanaharakati Pia nimeambiwa mama yangu alikua muuza samaki Alionambia ni dada yangu kutoka kaka yendo wa kati Ameniadithia hadithi yangu yenye huzuni adi bas eeh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out