Credits

COMPOSITION & LYRICS
Suleyman Salim Gao
Suleyman Salim Gao
Songwriter

Lyrics

Dalili ya mvua mawingu Na mapenzi ni vita ndio nikuambie Nilishapiga Na tunguli Kusaka amani ya penzi langu ila haikupatikana Najuwa ulinivisha Na kiremba cha ukoka Nikiamini ni kata Na unatambua haya mapenzi ni vita mazima ukakata na shina Sitaki kuamini mapenzi upofu Maana kwingine nitapenda Japo na moyo uliupa makovu Hadi na nuru ikazima Sitaki kuamini upofu Maana kwingine nitapenda Iyeeee eeeh eeeh heee Japo ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh Chuki chuki Iyeiyeiye iyee eeeh uwo wouwo Nimeyanawa kwa viganja vyangu viwili Yote sawa Siwezi ng'ang'ana na pendo uwouwooh Unione chawa Mapenzi wanashare sikuizi hakuna tena kupendana Na hata ukikaza utalegeza aah Na mwisho wa siku mtabwagana Sitaki kuamini mapenzi upofu Maana kwingine nitapenda Japo na moyo uliupa makovu Hadi na nuru ikazima Sitaki kuamini upofu Maana kwingine nitapenda Iyeeee eeeh eeeh heee Japo ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh Chuki Kwakunidanganya wanipenda sana Moyo ukaujenga Chuki Ukazichanganya hasi ikawa chanya Moyo ukaujenga Chuki Ulonifanya niyachukie na mapenzi ni wewe eeh Chuki Oooh wewe ati wanipenda sana nipenda sana Uwowouwo
Writer(s): Suleyman Gao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out