Lyrics

Au kisa nampenda, ndio maana haishiwi kuniliza Ni ukweli sijiwezi, ndio maana haishiwi kuniumiza Siwezi kumuacha maana nampenda na ananitesa, eeh Kugombana siwezi, ugonjwa mapenzi, naogopa jela, eeh Eh mapenzi ni homa, yashanichoma Ila bado nipo (eh) Kupenda sitakoma, acha niwe zoba Ila bado nipo (Kapipo) Siambiliki wala sishauriki Mapenzi na mimi, ata nzi hujiri, yeah Siambiliki wala sishauriki Mapenzi na mimi, ata nzi hujiri Yeah-ooh, yeah, yangu roho Ameshika mimi, amenithamini Yeah-ooh, roho, yangu roho Ameshika mimi, amenithamini (woooh) Eh mapenzi ni homa, yashanichoma Ila bado nipo Kupenda sitakoma, acha niwe zoba Ila bado nipo Ooh-ooh-ooh Niwe zoba Boom And the good work has been done by Kapipo Isikukite hadi
Writer(s): Platform Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out