Lyrics

Dream city, dingaa Hihihihihi... Abbah Yeah aha yeah Wewe unaiita BMW, me naiita Bima wewe Ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe Kama mbele snitches wanaona gere Kwanza Shell full tank leo ni siku misele Kimya kimya si bomu limeveshwa shuka Jicho nyanya hunioni mpaka nikishuka Billnas nika aliomba kwenye kichupa Gari yenyewe ndo mpya Sijui ka nitaweza mpa Huna dinga alafu unavimba ni ukatuni Demu wa kwanza kuniumiza aling'olewa kwa balloon Sikuamini mapicha picha kama movie Ndo yakafanya nijue plan B ya mapenzi ni sabuni Polisi akisimamisha wala hataki leseni Ananipa salam na pole kwa foleni Sio kinyonge mambling mavyeni vyeni Young Dar es Salaam kweli kweli Ukiona gari kali hujawahi kuiona Basi ujue hii ndo gari yangu Yenye mziki mkali ikipita utaguna Base lake hii ndo gari yangu Nasema ooh we ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu We unaita Volkswagen mi naita vimba wewe Ukipanda funga mkanda, alafu anza kuvimba wewe Speed ya mwewe inafika hapo mbele tu Sio iconic Dar nzima iko yenyewe tu Sio ya mkopo, sio ya baba, ni ya kwangu Acha waseme na nyodo bro nimeipata kwa taabu Ma snitch wanatia adabu wakiona naingia club Jinsi imetulia parking basi inavutia ajabu Yeah, bei ya rims tu nanunua Vitz Nikikupa bei ya muziki utaniona chizi Polisi akisimamisha anaomba hadi kupiga picha Piga picha baba uende ukavimbe Insta Aha, gauge haishuki, vioo juu Hamna kupenda mamluki ni watu poa poa tu Uswazi hunikuti sitaki roho juu Wasije kukwangua rangi hawajui bei juu Ukiona gari kali hujawahi kuiona Basi ujue hii ndo gari yangu Yenye mziki mkali ikipita utaguna Base laje hii ndo gari yangu Nasema ooh we ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Eey mi naipenda gari yangu VIle ikipata hitilafu mi nachachawa Kibubu changu Nitapasua mi niende nikaitibu ipate dawa Kama mwendo kasi Nikanyage mafuta sina wasi wasi, yeah Shida mi sitaki Niko na gari naenda na wakati Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Ohh weee ah ah gari yangu Hihihihihi.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out