Lyrics

Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe Ina maana hata kuondoka mpenzi hukunitazama, hutaki Awena, basi kama nna kosa kwako nililofanya nieleze awena Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeh, tulopanga zamani ina maana si chochote Utamu wa mapenzi niujuao mi nawe, kipenzi changu awena Utamu wa mapenzi niujuao mi nawe rudisha moyo awenaa Iweje penzi langu kwako umelikatisha iwejee Iweje penzi langu kwako umelikatisha ina maana tunda langu basi utamu umekwisha babyyyyy Labda ungesema mapema kuwa penz langu hulihitajia awenaa, kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitajia awena, Utamu wa mapenzi niujuao mi nawee kipenzi changu awena, utamu wa mapenzi niujuao mi nawe rudisha moyo awenaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out