Lyrics

Ma-ma-ma-magubegube (Tudy Thomas), magumegume (Ma-ma-ma) magubegube (ma-ma-ma) Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume Magubegube (ma-ma-ma-ma) Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube) Unaweza ukampiga mpaka ukaua na Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume) Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie Ah, juzi juzi nilizungumza na jirani yangu Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu shemeji yangu?" Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa "Shemeji yako mbaya kwanza usiku halali kabisa" Ah, juzi juzi tena nilizungumza na mama mwenye nyumba yangu Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu ile kodi yangu?" Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa Kama naitaji kuendelea, basi mwili wangu lazima nani nimpe Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube) Unaweza ukampiga mpaka ukaua na Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume) Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie Mapenzi yamekuwa uongo, yamekuwa uongo Yanachanganya sana ubongo, unaweza uka-paralyze Na wapenzi wamekuwa waongo, wamekuwa waongo Unazama leo kesho longolongo, swali na jibu kamwe halikowazi Ah, juzi juzi nilizungumza na teacher wangu Ah, nikamuuliza, "Vipi kuhusu majibu yangu?" Alichonijibu kibaya, sikutegemea kabisa Kama naitaji kupita, basi lazima kidogo dogo nanikupaga Ma-ma-ma-ma Ma-ma-ma-ma Ma-ma, basi lazima kidogo dogo nanikupaga Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube) Unaweza ukampiga mpaka ukaua na Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume) Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (we, we) Hivi ni shida au tamaa zinazowaleta Au shilingi inaleta balaa, ma-ma (magumegume) Usiombe ung'oe (magubegube), wanamambo (magumegume) Unaweza ukapigwa mpaka, mpaka ukaimba na Hivi ni shida au tamaa, eh (magumegume) Au shilingi (magubegube) inawakusanya na kuwajaza (magumegume) Unaweza ukapiga mpaka, mpaka ukachoka wewe, eh, eh, hey Mpaka ukachoka wewe Usiombe ung'oe (gubegube), wanamambo, ah (magubegube) Unaweza ukampiga mpaka ukaua (mama) Usiombe ukutane na (magumegume), wanamambo, ah (magumegume) Mnaweza mkamsuuza mpaka mkachoka nyie (wewe) Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume Magubegube (magumegume) Ma-ma-ma-magubegube (ma-ma-ma-magume, gume...), magumegume Magubegube (gume, gume, gume, gume)
Writer(s): Elias Barnabas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out