Lyrics

Hey, yeah eh-eh, mm Hey, yeah, eh-eh Muda mwingine utanikuta na mawazo Kwasababu naku-miss Muda mwingine chozi lanidondoka mimi Kwa pendo langu la dhati Muda mwingine nahofu Kwa vile unavyonipa ukimpa mwingine Muda mwingine shahuku Kwa vile unavyon'jali ukimjali mwingine, baby Nikilia nabembelezwa kwa upendo Naye akinuna namliwaza kwa vitendo Je, wewe ushawahi kubembelezwa? Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwa Aah, nabembelezwa, ohh, nabembelezwa Mapenzi si mchezo naamini Wapendanao huwa pacha Vitendo na mawazo maishani Huwezi kutofautisha Fitina si kigezo Sa' ndo' nini? ehe! Ishakuwa gumzo mtaani Watu wanatengeneza picha Nikilia nabembelezwa kwa upendo Nae akinuna namliwaza kwa vitendo Je, wewe ushawahi kubembelezwa? Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwa Aah, nabembelezwa (eh), ohh, nabembelezwa (eh) Simuoni mwingine duniani Wa penzi la kweli kama yeye Sijawa punguani akilini Niliemchagua ni yeye Najua mtasema sema Na mwisho wake mtulie (eeh) Mengi mtachonga sana Ila nitabaki na yeye, aah Ma-mama, ma-mama, mamaa Mama, ma-mama (eeh!)
Writer(s): Elias Barnaba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out