Lyrics

Boom kibabe heeh Emma ze boy on the beat (classic!) Bribababeiii!!! Pull up! (Radadaa ...) Nilimpenda miaka tisa, penzi la miezi sita likakatisha upendo Chuki akazidisha nakuyaanisha malengo (uouwooh!) Najutia muda kupoteza malengo (oooooh!) Kama kinywa kakitia pengo Mapenzi yanauma (yeee!) Nalala, na moyo sio chuma (eeeeeeh!) Na mapenzii hayana komando (enhe!) Na moyo wangu ("eheheheeeh")naubeba kwenye Rambo (eeeh!) Onanananaa, niliforce kupenda pengine eti nafsi itatulia Ila wapii kipendacho roho hula Nyama mbichi (onanananaa! aaaaah! eeeeeh!) Sina budi kukubaliana na uamuzi aliochukua Kama mpenzi ntapata mwingine na nafsi Itatulia 'mmmh' onanananaa! aaaaah! eeeeeh! Yatakwishaa Hizo nyodo za kupostiana Instagram, yatapita Mara Snapchat, mara Facebook na ntasahau Nitaachacha kulia na mwili kubaki kaukau Najikuta nashindwa kuna muda nawaza upumbavu (hook!) Vile ulivyonibiduwa naye unambiduwa vilivile Kisha nawaza Vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile Ni mawazo tu sina plan za kurudi Kwa alivyoniadhibuuuuuh, ebwana usiskie Mapenzi yanauma (yeee!) Na moyo sio chuma (eeeeeeh!) Na mapenzii hayana komando Na moyo wangu kaubeba kwenye Rambo (noooouoooh!! "eeeeeh") Yatakwisha Hizo nyodo napiga simu unajitia hunijui yatapita Mara unakata Mara unampa mpenzi wako kunitukana, na ntasahau (nooooouooooooh!) Mwili kubaki kaukau Mwanzoni nilishindwa kwa sasa ninasema (mapenzi basi) Penzi lako painkiller (nami nasema basi) Penzi lako snak (kukupenda basi) Kupenda basiiiiih!! noouoooh! (mapenzi basi) Penzi lako painkiller (nami nasema basi) Penzi lako snak (kukupenda basi) Kupenda basiiiiih!! noouoooh! Yatakwisha Yatakwisha babee iiieeeh enheee! Yatapita Mapenzi yanaweza kukupeleka Jehanam (nantasahau) Nantasau (noooouuuuh!)kichwani mwangu ntakutoa (mwili kubaki kaukau) Mwilii, Mwilii! iiiih! Goes around comes around This is Barnaba Boy Classic Be happy in your lives baby Classic
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out