Lyrics

I love what I am doing. Yeah... Aaah! Some other people miss the old me Some other people love the new me I thank God all these people They don't know me yet Class ni kitaa and they crown me, yes Hata we shetani kunielewa mimi ni bless Mi sioni mganga wa kuniganga miii Am on my own lane eh Am on my own plane (Bridge.) Nadili nasura zao Zote mbili kila duru Simwachii Mungu Si aliniumba kwa mfano Wake basi mi ni nuru Simwachi Mungu Nadili nasura zote Mbili kila duru Simwachi Mungu Eh Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru Simwachii mungu (Chorus) BenPol Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Nami ni mwanae Kote mi napita ah Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Name ni mwanae Kote mi napita ah II Unkinyonya haki yangu nayostahili Nasimama kukukabili Sikusomei albadili Wala si'endi mahakamani na mawakili Kanipa juu mamlaka sina fear kabisa Tuna kila taarifa utajiri maarifa Mi masihi mwafrika sime si–toshika Ukinirusha saa sita Nakumurder saa tisa Nkikukosa masika Nakuuzia za vuli Kama kaka nimekuwa Kwa madogo kivuli Shetani kwenye mnada namuuza bei nzuri Mungu baba anajua huyu mwanangu kiburi Nasimama kama moya Niongezee masifuri Depo ilikuwa ni daraja mbili si njoo vizuri Nadili na sura zao Zote mbili kila duru simwachii Mungu Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru Simwachii Mungu Nadili nasura zote Mbili kila duru Simwachii Mungu Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru Simwachii Mungu Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Nami ni mwanae Kote mi napita ah Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Nami ni mwanae Kote mi napita ah III Si Penzi mawazo Ya kupewapewa Na ndo mana mi sipendi bure Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi Na ndomana joh mi siendi kule Ili tu mi nile zile chuki zile Hunijui kivile Nyani haoni kundule You kiss ass na mnabaki na dhiki daily Na misa za kanisa mko siti za mbele Ni msasa nakuna kama kuna vipele N Nami sa-sinafichua kama deutsche-welle Wanasiasa hawamwachii mungu wanajipa madaraka Nyumba za ibada hazimwachi kukusanya sadaka Nami simwachi kujitoa uswahilini kwenye taka Niko vitani kipande cha keki yangu nataka Am on my own lane Am on my own plane Nadili na sura zao zote mbili kila duru Simwachii Mungu Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru Simwachi mungu Nadili na sura zao zote mbili kila duru Simwachii Mungu Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru Simwachii Mungu Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Nami ni mwanae Kote mi napita ah Maana niko naye Sina cha kuogopa ah Nami ni mwanae Kote mi napita ah Yeeahhhh... Yeeahhhh... Oh niko nae... niko nae
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out